iqna

IQNA

Mayahudi katika Qur'ani / 4
IQNA - Kuna aya nyingi ndani ya Qur'ani Tukufu kuhusu Mayahudi walioishi wakati wa uhai wa Nabii Musa (AS) na wale walioishi katika miaka ya mwanzo baada ya kuja kwa Uislamu.
Habari ID: 3478938    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05

Wayahudi Katika Qur'ani /2
IQNA – Qur'ani Tukufu kwa upande mmoja inasifu mafundisho ya Mwenyezi Mungu ya Taurati na inasisitiza sifa nzuri za Mayahudi wanaoshikamana na mafundisho hayo na kwa upande mwingine inashutumu uvunjaji wa ahadi wa baadhi ya Mayahudi waliopotosha Taurati na Uyahudi.
Habari ID: 3478902    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29

Wayahudi Katika Qur'ani/1
IQNA – Kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu kuna tofauti kati ya Mayahudi na Bani Isra’il (Wana wa Isra’il au watoto wa Isra’il) kwani Myahudi ni mfuasi wa dini ya Kiyahudi wakati Bani Isra’il ni jina la kaumu.
Habari ID: 3478895    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/28

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /29
TEHRAN (IQNA) – Bani Isra’il, ambao wakati wa utume wa Musa (AS) waliasi baadhi ya amri za Mwenyezi Mungu, waliendelea na uasi wao baada ya kifo cha Musa.
Habari ID: 3476501    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/01

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /25
TEHRAN (IQNA) – Bani Isra’il walikuwa kaumu kubwa katika historia. Walikuwa wamepewa dhamana ya kufika ardhi waliyoadhiwa na Mwenyezi Mungu ambaye alimpa Nabii Musa (AS) jukumu la kuwaokoa. Bani Isra’il waliokolewa lakini walibadili hatima yao kwa kutomtii Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476367    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07